John 20:1

Kufufuka Kwa Isa

(Mathayo 28:1-8; Marko 16:1-8; Luka 24:1-12)

1 aAlfajiri na mapema siku ya kwanza ya juma, kulipokuwa kungali giza bado, Maria Magdalene alikwenda kaburini na kukuta lile jiwe limeondolewa penye ingilio.
Copyright information for SwhKC